TikTok video #7277863199783816454 posted by @fahyvannyy

Kama kawaida @dstvtanzania wanazidi kunogesha….! Chaneli ya Mambo Moto yenye kurusha tamthilia zilizotafsiriwa iliyokuwa ikipatikana kupitia kifurushi cha Shangwe cha 37,000/- sasa imeshushwa mpaka kifurushi cha Bomba cha 24,000/= tu. Piga *150*53# kulipia kwa urahisi zaidi. #UtamuNiBomba #unakosajendevu


31.7K